- 463 viewsDuration: 1:42Baraza la magavana limekutana na tume ya ugavi wa mapato ya taifa kujadili ugavi wa mapato ya mwaka wa kifedha wa 2027/ 2028. Mkutano huo umefanyika katika hoteli moja hapa jijini nairobi na kuongozwa na mwenyekiti mpya wa baraza la magavana, gavana mythomi njuki ambaye pia ni gavana wa tharaka nithi