Skip to main content
Skip to main content

Baraza la waislamu nchini SUPKEM lakashifu siasa za mgawanyiko na uchochezi

  • | Citizen TV
    585 views
    Duration: 52s
    Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya, SUPKEM, limekashifu siasa za mgawanyiko na kuwataka wanasiasa kukomesha kauli zinazotishia umoja wa kitaifa. Akizungumza katika mkutano na wanahabari, Mwenyekiti wa SUPKEM Al-Hajj Hassan Ole Naado, amelaani matamshi ya wanasiasa yanayochochea ukabila na mgawanyiko kw amisingi ya dini, akiwataka viongozi kuacha uchochezi.