Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee wa Awliyahan lamuidhinisha Shukran Gure kuwania uwakilishi wa kina mama Garissa

  • | Citizen TV
    1,805 views
    Duration: 1:27
    Siasa za demokrasia ya maelewano zimeshika kasi katika kaunti ya Garissa huku baraza la wazee la jamii ya Awliyahan likimuidhinisha Shukran Gure kuwania kiti cha mwakilishi wa kina mama kaunti hiyo kwenye uchaguzi ujao.