Skip to main content
Skip to main content

Barcelona Rising Starlets na LYSA watetea mataji ya Chapa Dimba Laikipia

  • | Citizen TV
    442 views
    Duration: 31s
    Barcelona Rising Starlets na Laikipia Youth Soccer Academy (LYSA) wamefanikiwa kutetea mataji yao ya kaunti baada ya kushinda toleo la tano la fainali za Chapa Dimba Laikipia katika uwanja wa Nyahururu.