- 1,436 viewsDuration: 2:49Gavana wa Bomet Hillary Barchok, aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati na washukiwa wengine 22 wamachiliwa kwa dhamana baada ya kukana mashtaka ya ufisadi dhidi yao. Aidha Barchok na Wangamati wameamrishwa kusalimisha stakabadhi zao za usafiri, kutotangamana na mashahidi katika kesi hiyo na kutozungumzia kesi hiyo