- 8,386 viewsDuration: 1:49Watu wengi hufanya mazoezi ili kupunguza mafuta ya tumbo, lakini baadhi yao hawazingatii kwa umakini suala hili. Mafuta ya tumboni, yanayojulikana pia kama "tumbo la bia," ni tatizo la kawaida miongoni mwa vijana wanaojali muonekano na afya zao.Zifuatazo ni njia tano muhimu: Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw