- 3,538 viewsDuration: 1:20Baada ya kukataliwa visa ya Marekani mara nne, na kuanza kucheza mpira wa kikapu miaka sita tu iliyopita, Madina Okot ameandika historia kwa kuwa Mkenya wa kwanza kuchaguliwa kwenye hatua ya juu ya ligi kubwa ya wanawake ya mpira wa kikapu Marekani (WNBA). @beldeenwaliaula anataarifa zaidi #bbcswahili #Kenya #WNBA Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw