Skip to main content
Skip to main content

Bei ya juu ya mafuta yazidi kuwaumiza Wakenya

  • | Citizen TV
    4,971 views
    Duration: 3:17
    Kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta nchini kumepandisha pakubwa gharama ya maisha na kuzidi kulemaza maisha ya wakenya zaidi. Wengi wanasema kuwa mapato yao hayalingani kabisa na bidii na muda mrefu wanaolazimika kuwa kazini huku kwa wafanyabiashara, kupanda kwa bidhaa kukiwalazimu wengine hata kufunga