Skip to main content
Skip to main content

Bei ya mafuta yapanda huku EPRA ikilaumu mzozo wa Mashariki ya Kati

  • | Citizen TV
    10,986 views
    Duration: 1:39
    Wakenya watalazimika kulipa bei ya juu zaidi ya mafuta huku serikali ikitangaza kupanda kwa bei ya petroli kwa shilingi 12.93 huku ile ya dizeli ikipanda kwa shilingi 9.90. Wakenya wanaotumia mafuta ya taa sasa wakitakiwa kulipa shilingi 28 zaidi kwa lita moja ya mafuta. Kwenye kikao na wanahabari, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini (EPRA), Edward Kinyua, amesema kuwa bei hizi zimeendelea kutatizwa na mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati. Hata hivyo, Kinyua amesema serikali inafanya hima kutafuta suluhu.