- 85 viewsDuration: 3:03Kongamano la mwaka 2026 kuhusu uunganishaji Afrika kidijitali lilianza jijini Nairobi huku wito ukitolewa kwa serikali za Afrika zifanye maamuzi yatakayowezesha uunganishaji kamili wa bara hili, ili kunufaika na uchumi dijitali. Katibu wa teknolojia ya habari na mawasiliano na uchumi dijitali mhandisi John Tanui walisema uwekezaji katika teknolojia ya akili ige unaweza kuzalisha zaidi ya dola Bilioni-100 zaidi kila mwaka katika uchumi wa Afrika. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive