- 26,573 viewsDuration: 5:59Mtu mmoja alijeruhiwa katika uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr baada ya kuvamiwa na wahuni katika eneo la Chelemei. Taharuki ilitanda huku maajenti wa DCP wakidai kulengwa na wafuasi wa UDA. Kwa sasa, shughuli ya kuhesabu kura inaendelea katika eneo bunge hilo baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa saa kumi na moja jioni. Mwanahabari wetu Melita Oletenges anaripoti zaidi kutoka Emurua Dikirr.