- 17,254 viewsDuration: 2:26Ingawa uagizaji wa silaha katika nchi za Afŕika umepungua kwa takriban -41%, nchi za kusini mwa Jangwa la Sahaŕa zimeongeza uagizaji wao, hii ni kwa mujibu wa ŕipoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani Stockholm (SIPRI). @mrs.tadicha ana orodha ya nchi 10 zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zinaagiza silaha nyingi zaidi. #bbcswahili #sahara #afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw