14 Jan 2026 1:10 pm | Citizen TV 2,342 views Duration: 4:16 Na sasa tuungane na mwanahabari wetu Ben Kirui ambaye amekuwa katika eneo la tukio tangu asubuhi akizungumza na wafanyibiashara kuhusu shughuli hiyo ya ubomoaji na hasara waliopata.