23 Sep 2026 1:40 pm | Citizen TV 4,542 views Duration: 1:32 Mwanaume mmoja huko narok kwa jina Mayani Lekuruon analilia haki kutoka kwa serikali kufuatia madai kuwa nduguye kwa jina Bradly Memusi Lekuruon alitoweka baada ya kuonekana mara ya mwisho akiwa chini ya ulinzi wa polisi.