Skip to main content
Skip to main content

Bunduki 11 zilizomilikiwa kinyume cha sheria zaikabidhiwa asasi za usalama kaunti ya Tana River

  • | KBC Video
    325 views
    Duration: 3:40
    Bunduki 11 zilizomilikiwa kinyume cha sheria zilikabidhiwa kwa asasi za usalama katika kaunti ya Tana River wiki moja iliyopita, huku kipindi cha msamaha wa siku 60 kwa ajili ya urejeshaji wa silaha kwa hiari kikikaribia kumalizika. Na jinsi mwanahabari wetu Aaron Marie anavyotujuza, Zoezi hilo linalenga kurejesha amani katika eneo hilo, ambalo katika miezi ya hivi maajuzi limeshuhudia mapigano makali kati ya jamii zinazoishi katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive