Skip to main content
Skip to main content

Busia: vijana wahusishwa kwenye mchezo wa kandanda Ili kutoa hamasa dhidi ya uhuni na mihadarati

  • | NTV Video
    131 views
    Duration: 3:10
    Kama mojawapo ya njia za kukabili matumizi ya mihadarati katika Kaunti ya mpakani ya Busia, vijana katika eneo bunge la Matayos kaunti hiyo wamehusishwa kwenye hafla ya mchezo wa kandanda, mbali na kuhamasishwa kuhusu uhalifu na uhuni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya