Skip to main content
Skip to main content

Busia: Wafanyabiashara waelezea umuhimu wa wapiga kura kuzingatia viongozi wanaoleta maendeleo

  • | NTV Video
    219 views
    Duration: 2:53
    Wavuvi na wafanyabiashara wa samaki na omena katika ufuo wa Sinyenye, Ziwa Victoria, eneo bunge la Budalang’i, Kaunti ya Busia, wameelezea umuhimu wa wapiga kura kuzingatia viongozi wanaoleta maendeleo badala ya wale wanaotoa pesa wakati wa kampeni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya