Skip to main content
Skip to main content

Bustani ya CIDP Garissa

  • | Citizen TV
    5,485 views
    Duration: 2:00
    Idara ya viwanda katika serikali ya kaunti ya Garissa inashauri wawekezaji kuchukua nafasi za kuanzisha biashara kwenye kituo cha viwanda cha kaunti hiyo ambacho kinakaribia kukamilika.