- 2,063 viewsDuration: 2:18Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu, uasu, kimetoa notisi ya siku saba ya mgomo, kuanzia tarehe 2 oktoba 2026. Akizungumza katika ofisi za uasu nairobi, katibu mkuu dr. Constatine wasonga amesema hatua hiyo imetokana na kushindwa mara kwa mara kwa mabaraza ya vyuo vikuu, wizara ya elimu na hazina ya kitaifa kutekeleza mkataba wa makubaliano wa kurejea kazini (2025-2029) uliotiwa saini tarehe 5 novemba 2025.