26 May 2026 2:06 pm | Citizen TV 405 views Duration: 2:13 Kama njia ya kutunza mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, chifu mmoja pamoja na mwanawe wamechukua hatua ya kibinafsi kwa kupanda miti zaidi ya elfu tatu ndani ya saa 30.