Skip to main content
Skip to main content

Chifu wa Chepkemel Andrew Kibet Koskei ashtakiwa kwa madai ya kumpiga mwanamke

  • | Citizen TV
    1,810 views
    Duration: 54s
    Chifu wa Chepkemel eneo la Soin/Sigowet, Andrew Kibet Koskei, alifikishwa katika Mahakama ya Kericho akikabiliwa na shtaka la kumshambulia na kumjeruhi mfanyabiashara Linet Cherotich.