25 Aug 2026 1:27 pm | Citizen TV 473 views Duration: 2:43 Chuo kikuu cha machakos kimepokea wanafunzi zaidi ya elfu tatu wapya katika zoezi la usajili linaloendelea, licha ya kutokuwepo kwa muundo wa kulipa karo za kozi mbalimbali.