Skip to main content
Skip to main content

Cyril Ramaphosa ajitetea kuhusu kukutana na Wicknell Chivayo

  • | BBC Swahili
    29,955 views
    Duration: 2:20
    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji fedha. @mrs.tadicha anaelezea kwa kina #bbcswahili #zimbabwe #wicknellchivayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw