Skip to main content
Skip to main content

DCI yamsaka mshukiwa wa wizi wa magari na dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    9,454 views
    Duration: 3:21
    Maafisa wa Upelelezi wa DCI wanamsaka mshukiwa mmoja wa wizi wa magari na ulanguzi wa dawa za kulevya aliyetoweka eneo la Kahawa Sukari wiki moja iliyopita. Samuel Omondi Audi anaripotiwa kuagiza gari la kukodi kutoka eneo la Utawala akidai kuwa alinuia kusafiri kuelekea Mombasa kwa siku kumi. Baadaye mmiliki wa gari hilo alipata kifaa cha kufuatilia gari kimetupwa katika eneo la Kangundo.