Skip to main content
Skip to main content

DCP yapuuza kuidhinishwa kwa Kindiki kuwa kinara wa Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    4,480 views
    Duration: 1:36
    Chama cha DCP kimepuuzilia mbali kuidhinishwa kwa Naibu Rais Kithure Kindiki kuwa kinara wa kisiasa wa eneo la Mlima Kenya, kikisema uongozi wa kisiasa unaamuliwa na wananchi na si wazee wachache. Katibu Mkuu wa DCP na Seneta wa Nyandarua John Methu amesema chama hicho kinaunga mkono juhudi za kuwaunganisha watu wa Mlima Kenya, lakini kinapinga wazo kwamba wazee wanaweza kuamua kinara wa kisiasa wa eneo hilo. Walizungumza katika Kanisa la Ambassadors Christian Church, Kianjokoma, Kaunti ya Embu.