Skip to main content
Skip to main content

Dkt Mbijiwe asailiwa kama balozi mteule Vatican

  • | KBC Video
    184 views
    Duration: 3:24
    Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu ulinzi wa kitaifa na mahusiano ya kigeni imehoji faida ya kiuchumi itakayotokana na kuzinduliwa kwa ubalozi jijini Vatican. Kamati hiyo, ikimsaili balozi mteule atakayehudumu jijini Vatican, Julius Mbijiwe, kamati hiyo iliagiza wizara ya mashauri ya nchi za kigeni kuelezea bunge kuhusu manufaa ya kiuchumi yanayotokana na ufunguzi wa ubalozi huo mpya ambao unajiri wakati afisi za kibalozi zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa rasilimali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive