Skip to main content
Skip to main content

Driftwood Sevens kuelekea Mombasa huku KCB RFC ikiongoza kundi B

  • | Citizen TV
    222 views
    Duration: 1:13
    Mkondo wa nne wa msururu wa kitaifa wa raga ya wachezaji saba unaelekea Mombasa kwa mashindano ya driftwood sevens mwishoni mwa wiki huku viongozi wa msururu KCB RFC wakiwa kileleni katika kundi 'B'.