- 2,162 viewsDuration: 2:36Waziri wa Afya, Aden Duale, amesema hataomba msamaha kwa matamshi yake yaliyolenga jamii ya Wakikuyu, huku akiishutumu Tume ya Uwiano na Maridhiano (NCIC) kwa kukosa uhuru katika utendaji wake. Duale amesema yuko tayari kufika mbele ya NCIC, lakini kwa sharti kwamba kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, naye aitwe na kuhojiwa na tume hiyo. Wakati huohuo, kinara wa PLP, Martha Karua, amemtaka Rais William Ruto kumfuta kazi Waziri Duale kutokana na matamshi hayo. Gatete Njoroge ana taarifa zaidi.