Skip to main content
Skip to main content

“Duale, endelea kuiba pesa ya SHA ukiwa na Ruto.”

  • | K24 Video
    662 views
    Duration: 2:02
    "Mimi nataka kumwambia huyu mtu anaitwa Aden Duale, wewe endelea kuiba pesa ya SHA mkiwa na William Ruto, kazi yako kama waziri ni kuiba pesa ya wagonjwa na kujaribu kugonganisha Wakikuyu na Wasomali, hatuwezi kukubali." - HE Rigathi Gachagua