23 Sep 2026 1:17 pm | Citizen TV 459 views Duration: 1:50 Suala la utapeli wa mashamba katika Kaunti ya Kajiado limetawala siku ya pili ya kampeni ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi - EACC ya kuhamasisha wakazi na viongozi wa Kajiado kuhusu namna ya kuzuia ufisadi.