Skip to main content
Skip to main content

EACC yawakamata maafisa 9 wa Hazina kuhusu ufisadi wa Sh1.7bn

  • | Citizen TV
    1,755 views
    Duration: 1:38
    Wahasibu wakuu 9 kutoka hazina kuu ya kitaifa wamekamatwa na kuzuiliwa katika afisi kuu za tume ya kukabiliana na ufisadi EACC, jijini Nairobi. Maafisa hawa wakihusishwa na madai ya ufisadi wa mradi wa uvumbuzi wa miradi ya uchumi mashinani wa thamani ya shilingi bilioni 1.7. kati ya mwaka wa 2013 na 2024.