Skip to main content
Skip to main content

EACC yazindua kampeni ya siku tano dhidi ya ufisadi katika kaunti Kajiado

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 3:31
    Tume ya Maadili na Kupambana na ufisadi nchini EACC imezindua kampeni ya siku tano katika kaunti ya Kajiado ya kuhamasisha umma kuhusu mbinu za kukabiliana na ufisadi.