Skip to main content
Skip to main content

ELIMU KUIMARISHWA KAUNTI YA NAROK

  • | KNA Video
    20 views
    Duration: 9:10
    Wanafunzi wanaoishi na ulemavu katika Kaunti ya Narok sasa wataendelea kupokea huduma za kiserikali na yeyote anayeshikilia mila na tamaduni zilizopitwa na wakati ambazo zinawabagua atakabiliwa na hatua kali ya kisheria. Haya yalisemwa na Kamishna wa Kaunti ya Narok, Kipkech Lotiatia wakati wa utoaji wa zaidi ya shilingi 500,000 na Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na Ulemavu (NCPWD) kusaidia elimu ya wanafunzi wanaoishi na ulemavu akisema kuwa ubaguzi ni dhana potovu inayowakosesha watoto sampuli hii kutoafikia malengo yao maishani na hivyo basi wataendelea kulindwa.