- 895 viewsDuration: 8:03kifo cha waziri mkuu wa zamani Raila Amolo Odinga tarehe 15 mwezi oktoba mwaka huu wa 2025 kilitikisa taifa. Ni mwaka ambao pia ulionekana kupuliza kipenga cha kupimana ubabe wa kisiasa kutokana na chaguzi ndogo zilizofanyika mwezi novemba. Emmanuel Too alikuwa katikati ya matukio hayo na hii hapa simulizi ya alivyokisia matukio hayo.