- 4,288 viewsDuration: 1:39Mamlaka ya kudhibiti bei za mafuta nchini EPRA imesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kwa kutangaza bei mpya za mafuta kabla ya serikali. Bei ya petroli imepanda kwa shilingi 12 na senti 93, dizeli imepanda kwa shilingi 9 na senti 90, huku mafuta taa yakipanda bei kwa shilingi 28 na senti 49. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya