20 Aug 2026 1:14 pm | Citizen TV 538 views Duration: 4:01 Familia 13,000 zinazoishi katika shamba la Marehemu Isaaih Cheluget la ekari 5,800 zimepata afueni baada ya Serikali kutangaza rasmi kuondolewa kwa kesi inayolenga kuwafurusha.