Skip to main content
Skip to main content

Familia Garissa zalala nje baada ya nyumba kubomolewa

  • | Citizen TV
    1,767 views
    Duration: 1:43
    Familia kadhaa katika eneo la Public Works mjini Garissa zinakesha nje kwenye baridi baada ya nyumba zao kubomolewa na serikali usiku ili kutoa nafasi kwa ujenzi wa nyumba za bei nafuu.