Skip to main content
Skip to main content

Familia moja huko Majengo, Nyeri, yataka haki kwa mwana wao aliyeuawa na polisi

  • | Citizen TV
    2,655 views
    Duration: 3:21
    Familia Moja Katika mtaa wa Majengo mjini Nyeri, Inaililia haki baada ya jamaa yao kupigwa risasi na kuuwawa wakati wa maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta yaliyofanyika jumatatu mjini humo..Kulingana na familia hiyo, Joseph Mwangi aliyekuwa na umri wa miaka 26 na mcuuzi wa njugu, alikuwamiongoni mwa kundi la vijana waliokuwa wakilinda biashara za waajiri wao zisiporwe maafa yalipomfika. Na kama Ananvyoarifu Kamau Mwangi, licha ya madai hayo, polisi kaunti ya nyeri wanakana kufyatua risasi kuwadhibiti waandamanaji siku hiyo