- 2,014 viewsDuration: 2:34Familia moja huko Mshomoroni, kaunti ya Mombasa, inamtafuta mtoto wa miaka 12 ambaye ametoweka kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa. Inadaiwa Lucas Orina alikuwa akicheza na wenzake nje ya nyumba yao kabla ya kutoweka. Kisa kingine cha mwanafunzi wa Gredi ya Kumi kupotea pia kimeripotiwa katika kaunti ya Kiambu, kama Francis M’talaki anavyoarifu.