- 1,256 viewsDuration: 2:33Familia tatu hapa Nairobi zimewasilisha kesi mahakamani, kumtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kushurutishwa kuwafichukua waliko jamaa zao waliodaiwa kukamatwa na maafisa wa polisi. Familia za Michael Oloo, Macmillan Kiarie na Evans Otieno zimeeleza machungu yao wakilaumu polisi kwa kutoweka kwa jamaa zao mkesha wa maadhimisho ya kumbukumbu ya Juni 25.