Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Burudi Nabwera yakataa siasa za migawanyiko katika mazishi yake

  • | Citizen TV
    2,559 views
    Duration: 1:45
    Familia ya marehemu waziri wa zamani, balozi wa kwanza wa kenya nchini marekani na mwenyekiti wa baraza la wazee wa jamii ya waluhya, burudi nabwera, imesema licha ya kuwa wanasiasa wataruhusiwa kuzungumza , haitaruhusu siasa za migawanyiko kutawala maziko yake.