- 2,324 viewsDuration: 51sFamilia moja katika eneo la Kasarani inamtafuta mwanafamilia wao, Abel Monchere Moindi mwenye umri wa miaka 68, aliyepotea kutoka eneo la Sunton tarehe 10 Mei mwaka huu. Familia hiyo imeomba msaada wa umma na vyombo vya usalama ili kumsaidia kumpata na kujua aliko.