Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Kisumu yaitaka serikali kutatua mgomo wa wahudumu wa afya

  • | Citizen TV
    529 views
    Duration: 2:38
    Familia moja kutoka Kisumu sasa inaitaka serikali kutatua mgomo wa wahudumu wa afya, baada ya kumpoteza jamaa yao hospitalini. Lavender Otieno, mwenye umri wa miaka 28 alifariki alipokwenda kujifungua na kukosa huduma hospitalini. Haya yanajiri huku serikali ya kaunti ya Kericho ikianza mchakato wa kuajiri wauguzi wapya ili kusaidia huduma haswa kwa wagonjwa waliolazwa.