Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mfanyabiashara wa Likoni yamtafuta Peter Wambua Mwaluko aliyetoweka siku 18 zilizopita

  • | Citizen TV
    2,389 views
    Duration: 2:18
    Familia ya mfanyabiashara Peter Wambua Mwaluko kutoka Likoni inahangaika kumtafuta mpendwa wao anayodaiwa kutoweka siku 18 zilizopita. Mwaluko alitoweka baada ya kudai alikuwa anaelekea kuhudhuria mikutano miwili na wafanyabiashara katikati mwa jiji la Mombasa, na hadi sasa familia yake imemtafuta bila mafanikio.