Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mwanafunzi wa miaka 14 yadai haki baada ya kuchomwa na maji ya moto shuleni

  • | Citizen TV
    9,444 views
    Duration: 2:49
    Familia moja hapa jijini Nairobi inalilia haki baada ya binti yao mwenye miaka 14 kuchomwa vibaya kwa maji ya moto shuleni. Mwanafunzi huyo wa shule ya upili ya wasichana ya Mumbuni kaunti ya Machakos sasa amelazimika kukatiza masomo yake kwa mwezi wa pili sasa kutokana na majeraha hayo. Sasa familia yake inasema imewachwa kugharamia matibabu yake huku kamanda wa polisi Machakos Monica Kimani akisema polisi wanaendelea kuchunguza kisa hicho