Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Noureen Nalwanga yaitaka haki baada ya kifo chake Homa Bay

  • | Citizen TV
    3,240 views
    Duration: 2:24
    Familia ya mwananmke aliyefariki baada ya kugongwa na gari wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi Homa Bay sasa inadai haki kufuatia kifo cha jamaa yao. Noureen Nalwanga alifariki baada ya kugongwa na moja ya magari yaliyokuwa kwenye msafara wa Linda Mwananchi Jumapili. Mama huyo wa watoto wanne alikuwa mjini humo kuchunga duka lake liliokuwa kwenye hatari ya kuvunjwa na wahuni.