- 3,179 viewsDuration: 2:11Familia ya mkenya aliyeuwawa katika vita vya Ukraine na Urusi mwezi Agosti mwaka jana imefanya mazishi ya kumuaga mpendwa wao huko Busia bila mwili wa mwendazake kuwa hapo. Marehemu Oscar Mutoka, mwanajeshi wa zamani mwenye umri wa miaka 40 alisafiri kutoka nchini Kenya mwezi Juni mwaka jana ili kujichumia riziki ila akauawa miezi miwili baadaye kwenye vita hivyo