- 1,168 viewsDuration: 2:14Baada ya miaka minane ya kusubiri hukumu katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno, familia yake sasa inasema imepata afueni kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Milimani uliowapata na hatia aliyekuwa Gavana wa Migori Zachary Okoth Obado, aliyekuwa msaidizi wake Michael Oyamo na aliyekuwa karani wa Kaunti ya Migori Caspal Obiero. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya