Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Timothy Kwemoi yataka polisi kuwakamata wauaji

  • | Citizen TV
    3,154 views
    Duration: 2:14
    Familia moja mjini Kitale inaitaka idara ya polisi kuharakisha uchunguzi na kuwakamata wahalifu walionaswa kwenye kamera za CCTV wakimuua mpendwa wao, Timothy Kwemoi. Timothy, ambaye alikuwa mhudumu wa bodaboda, aliuawa baada ya kumfikisha mteja wake katika eneo la Gatua majira ya saa sita usiku. Familia hiyo imesema imesikitishwa na kuchelewa kwa polisi kuwakamata washukiwa wa mauaji hayo.