25 Aug 2026 10:17 am | Citizen TV 543 views Duration: 2:12 Familia ya afisa wa polisi aliyepoteza maisha yake kwenye vurugu wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwanachi kaunti ya Homabay yalilia haki baada kutopata majibu sahihi kuhusu jinsi mwana wao alivyoaga dunia